“Kuajiriwa Sio Kigezo Ushindwe Kujiajiri,” Hika Lyimo #Fahamustory

Kujiajiri ni mojawapo ya wimbo mkubwa ambao serikali za nchi nyingi duniani zimekuwa zikiimba.

Kuna faida nyingi kujiajiri hususani kwa uchumi wa nchi husika lakini changamoto kubwa imebaki kuwa ni mtaji.

Hika licha ya kuajiriwa lakini hiyo haijamfanya kushindwa kujiajiri kuondoa imani ya wafanyakazi wengi ambao wamekuwa wakitoa kisingizio cha kazi kama kikwazo chao kikuu cha kushindwa kutengeneza mfumo mwingine wa kujipatia kipato.

Fuatilia mahojiano ya waandishi wetu #Fahamuzaidi pamoja na Hika’ kwa kubonyeza alama ya Play’ hapo chini.

Hits: 254