Game Of Thrones Na Waigizaji Halisi Wa Filamu Za Ngono!

Game of Thrones moja ya series kali sana, kwa Bongo kuna watu kadhaa nimewahi kuongea nao kuhusu GOT hususani mapenzi yao, kipi kinawavutia zaidi.

Kuna watu ambao waliniambia mojawapo ya kitu kilichowafanya wakapenda GOT ni uwepo wa Scenes za mapenzi..tena sio mapenzi bali mapenzi ya hatari! 😄

Kila mtu ana ladha yake anayotaka katika filamu, lakini nataka nikuambie kuwa Ubora wa sex scenes katika GOT kwa kiasi kubwa umechangiwa na waigizaji kadhaa ambao wamewahi kuwa waigizaji maarufu wa mikanda ya ngono (Porn stars).

GOT Katika seasons za mwanzo walitumia mastaa kadhaa wa mikanda ya ngono ili kuleta uhalisia wa scenes kadhaa.

1. Sibeli Kekilli

Huyu anafahamika sana, alikuwa chakula nzuri ya Tyron Lannister 😄. Lakini kabla hujamuona katika GOT kuanzia miaka ya 2002 mwanadada huyu alikuwa akifahamika katika kiwanda cha uandaaji wa filamu za ngono.

SOMA PIA: KIASI CHA PESA GOOGLE WANAWALIPA APPLE, INASHANGAZA!

Jina maarufu alilokuwa akitumia ni Dilara’ na hiyo ndiyo iliyompa tiketi nzuri mpaka tukamuona katika GOT.

2. Sahara Knights

Alikuwa ni mmoja ya wanafunzi wa Littlefinger katika nyumba ya mfalme kama unamkumbuka vizuri, lakini kabla ya hapo aliwahi kushirika katika filamu za kikubwa zaidi ya 60 akitumia jina hilo hilo kama lilivyoandikwa hapo juu.

3. Aeryn Walker

Huyu bhana utakuwa ulimuona katika Season 04, kitu cha utofauti kwake alikataa kuigiza kama namna kazi yake anayoifanya katika maisha halisi.

Alichoigiza katika GOT ni kama mmoja wa mke Craster’ mtu mwenye unyama wake ambae alikuwa akiishi upande wa North of the Wall’

4. Maisie Dee

Huyu kwenye GOT utakuwa ulimuona katika msimu wa pili nae akiwa kama mmoja ya wanafunzi katika nyumba ya Littlefinger’ lakini nje ya hapo ni mmoja ya waigizaji maarufu wa mikanda ya ngono.

5. Samantha Bentley

Huyu alionekana katika S04 kama mmoja ya wanawake wanaojiuza kwa Davos Seaworth’ lakini nae nje ya maisha yake halisi ni Porn star maarufu ambae kashinda tuzo kabisa ya mambo ya ngono mwaka 2013

6. Jessica Jensen

Alionekana katika S03…lakini nje ya uigizaji wake katika GOT kwa nje ni mmoja wa waigizaji wakubwa wa filamu za ngono. Kwa huyu kabla hajawa mcheza filamu za ngono aliwahi kufanya kazi kadhaa kama Uanamitindo ambako hali kwake haikuwa nzuri ndipo alipoamua kutumbukia katika mambo ya ngono.

Una lolote la kutuambia? Tuachie maoni yako hapo chini na Usisahau kutu Follow chini kabisa kuna link za mitandao yetu yote!

Mhariri

Kazi yangu ni kukufahamisha zaidi yale usiyoyajua. Kumbuka Elimu haina mwisho.

More Posts

Hits: 3653

3 thoughts on “Game Of Thrones Na Waigizaji Halisi Wa Filamu Za Ngono!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

error: Content is protected !!